Thursday, November 6, 2014

SIKIA HILI LA PENNY KUHUSU MWANAMZIKI DIAMOND






MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuzi huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tenaKauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa Wema kamuacha Diomond basi staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora akampose yeye


Mmh! Hapa suala la Diamond kurudiana na mimi halipo kabisa maana simhitaji yeye wala mwanaume mwingine yeyote, mimi ninaye wangu tayari ambaye ameshanichumbia hivyo sitarajii kabisa kuwa na mwingine zaidi yake,” alisema Penny
 SUKARI YA WAREMBO DIAMOND PLATNUMZ

                       PENINAH MTALAKA WA DIAMOND


No comments: