Sunday, November 2, 2014

MCHEKI MANGE KIMAMBI, DADA ALIYEMFANYA WEMA SEPETU KUWA STAR LEO HII

                                        MANGE KIMAMBI

                                                     MANGE AKIWA NA MAMA MKWE WAKE
                                                           
                                          MANGE AKIWA NA BABA MKWE WAKE

                                                  MUME WA MANGE AKIWA NA MTOTO WAO WA MWISHO
TOTO LA MWISHO LA MANGE YANI ZURI UTAFIKIRI WALE WATOTO WA KWENYE PICHA WALE.
 
Muigizaji wetu ambaye anapendwa karibu Tanzania nzima WEMA SEPETU asingekuwa super star leo bila huyu dada hapo juu, huyu dada ndie aliyem convice Wema na wazazi wake ili Wema ashiriki u miss SITI MTEMVU, toka hapo mpaka leo hii WEMA KAWA STAR LIKE NO ONE IN TANZANIA, anywayyy Mange huwa anapenda sana kupiga picha ya kila jambo analolifanya  na kupost kwenye blog yake, lakini hivi karibuni alikuwa kimya sana mpaka jana ambapo alipost hizi picha akiwa na familia yake na watu kumshangaa kana kwamba ni mtu aliyekuwa kasafiri na sasa amerudi.

No comments: