MUIGIZAJI TONTO DIKEH NA TATOO YAKE ILIYOCHUKUA NAFASI KUBWA MGONGONI
Huyu ni muigizaji wa Nigeria anaitwa TONTO DIKEH, muigizaji huyu amekuwa na vituko vingi huko Nigeria, lakini aliwatolea mpya watu alipojichora li tattoo likubwa mgongoni, kama mnavyojua tattoo ni mchoro usiofutika, mara nyingine kwasababu ya ujana unaweza kuamua kujichora kitu cha ajabu na chenye maana mbaya, unapofika kipindi Fulani sasa akili imetulia ndo unaanza kujutia kwanini ulichora tattoo kama hiyo tena kubwa namna hiyo, lakini inakuwa too late kwasababu tattoo haifutiki.
KWA HIYO WASANII JIANGALIENI SANA KWENYE MAAMUZI MAANA KILA MAAMUZI MTAKAYOCHUKUA SASA FAINALI YAKE UZEENI.....
No comments:
Post a Comment