HOLLYWOOD BOLLYWOOD
HOLLYWOOD BOLLYWOOD INDIA
HOLLYWOOD MAREKANI BOLLYWOOD INDIA
HOLLYWOOD MAREKANI BOLLYWOOD INDIA
HOLLYWOOD MAREKANI BOLLYWOOD INDIA ki2 cha shuh rukh khan
HOLLYWOOD(hii niliitoa juzi) BOLLYWOOD( hii nimeshaiona tamu hiyo)
HOLLYWOOD MAREKANI INDIA nao wakaiga tatinic yao
HOLLYWOOD BOLLYWOOD
Haya sasa hizo ndio movie za Hollywood ambazo zimekopiwa na kupestiwa na wahindi, tena wengine mpaka cover photo wanaweka inayofanana kabisa, hapa bongo watu wamekuwa wakiwalalmikia sana bongo movies kwa ku copy story za nje, huku tukiamini kwamba watu wakubwa kama Bollywood wenyewe hawacopy kumbe na wenyewe wanacopy kwa wakubwa wao HOLLYWOOD, swali je hao Hollywood ambao kila mtu anawacopy na wenyewe wanacopy wapi mbinguni? ni wazi wanaumiza kichwa, tena waafrica na wahindi tuna bahati tuna mengi ya kuonyesha katika maisha yetu ya kila siku , mila na desturi zetu zina mambo mengi amabayo yakiwekwa kwenye movie yatavutia, lakini wazungu hawana story mpaka wanatengezaga ma movie ambayo hayana uhalisia, yani wazungu unaweza kushangaa wakatengeneza movie eti miti inaongea na kutembea na watu watajaa kuinunua, wakati sisi tunamastory kibao,kitu kama kigodoro tu kimetungiwa movie na mbunifu Zamaradi na kikawa gumzo, sasa kuna mambo mengine mengi mnooo ambayo yanaweza kuwekwa kuwa movie , na india hivyo hivyo . LAKINI WATU WAKO BUSY KUIGA HOLLYWOOD MWISHO WATATENGENEZA MOVIE ZA VYOMBO VYA JIKONI VIKIONGEA NA KUJIPIKA, YANI KIKOMBE KINAONGEA NA KIJIKO, SUFURIA LINAJINYANYUA LINAMWAMBIA MWIKO AJE WAPIKE, MWIKO ANAMWAMBIA KISU AKATEKATE NYANYA AJE AWEKE KWENYE SUFURIA, SINK LINALALAMIKA WAKINA MASUFURIA WANAJICHAFUA HOVYO ATAPATA KAZI KUWAOSHA BAADAE,yani huko tunakoendea iga iga hii tutatengeneza story zisizo na kichwa wala miguu , tunawaiga watu wasio na mila na desturi ndo maana wanakosa story, yani Hollywood wangepata nafasi ya kukaa Africa au India wangepiga movie zenye story za ajabu yani wangeitumia fursa haswaa, ni kama walivyopiga hela kwenye movie ya MANDELA NA WINNIE MANDELA, wasouth siku zote hakuna anayewaza kucheza movie itakayoelezea story za Mandela mpaka watu kutoka nje wamekuja wamepiga hela wakasepa. TUNAIHITAJI KUITUMIA FURSA TULIYONAYO TUNASTORY NYINGI MNO NI KUJIAMINI TU.
No comments:
Post a Comment