Habari ya mujini kwa leo huko majuu ni kuhusiana na mwanamziki/muigizaji CHRISS BROWN kumsaliti mpenzi wake Carueche kwa kwenda kwenye nyumba ya machangudua wa ki Asia , inasemekana kwamba eneo hilo kwa nje wameandika ni sehemu ya MASSAGE lakini huduma inayopatikana humo ndani ni huduma zote zote, unaambiwa kuna tangazo linalohusu eneo hilo lipo ndani ya website ya ngono ambalo linasema mteja akifika hapo anakabidhiwa vimwana vya ki Asia vitatu halafu atajiju navyo,
INAELEKEA CHRISS ANAPENDA TOTOZ YA ASIA MAANA HATA GIRLFRIEND WAKE NI WA ASIA PIA.
nimeweka habari ya Chriss humu ndani kwasababu Chriss pia ni muigizaji na ameshacheza movie kadhaa.
No comments:
Post a Comment