WEMA SEPETU ZARINAH HASAN
DIAMOND AKIMAHABIKA NA ZARI
Eti kuna chanzo ambacho kipo karibu na Wema kinadai kwamba Wema alipoiona hiyo picha ya Zari na Diamond wakimahabika eti alidondosha chozi, inasemekana eti Wema ghafla alitetemeka na kuanza kulia hasa ikizingatiwa mwanzo kulikuwa hakuna uhakika kama kweli Diamond kamahabika na Zari ilikuwa inasemekana wanaproject tu eh sasa ushahidi wa picha ulipotoka ndio kila mtu akiwemo na Wema pia ndo wameamini kwamba watu hawa wazee wa LE PROJECT kumbe walifanya project zote duniani.
CHANZO CHA NEWS SWAHILIWP.
No comments:
Post a Comment