Monday, November 3, 2014

HONGERA SANA KAJALA MASANJA..





Muigizaji wa bongo movies Kajala Masanja hivi sasa atakuwa msambazaji wa movie zake mwenyewe, Kajala ambaye sasa hivi anacampuny yake inayoitwa KAJALA INTERTAINMENT ameshatoa movie yake ya kwanza ikiwa chini ya company hiyo inayoitwa MBWA MWITU na hivi majuzi kupitia mtandao wake wa instagram Kajala alitangaza kwamba mwezi ujao anatarajia kutoa movie yake mpya itakayoitwa PISHU na ataisambaza mwenyewe,


WASANII WAMELALAMIKIA SANA SWALA LA KUNYONYWA KWENYE MALIPO NA MA COMPANY YA USAMBAZAJI LAKINI WAMEKUWA WAKITAKA SERIKALI IWASAIDIE KILA SIKU, KWA MSANII KAJALA IMEKUWA TOFAUTII KAAMUA KUANZA KUFANYA MABADILIKO YEYE MWENYEWE KULIKO KUSUBIRI SERIKALI, MIMI NAPENDA SANA MTU ANAYEANZA NA MABADILIKO YAKE MWENYEWE KWASABABU KAMA UNANIA NA KITU NA UNAONA UNAPIGA KELELE KIREKEBISHWE HAKIREKEBISHWI BASI ANZA MWENYEWE KUKIREKEBISHA TARATIBU THEN UTASHANGAA SYSTEM NZIMA ITABADILISHWA HATA NA WALE WANYONYAJI.

No comments: