Wednesday, November 5, 2014

KWA WALE WAPENDA MOVIE MNAIKUMBUKA HII MOVIE YA PRETTY WOMAN?

Pretty Woman

Bwana hii movie ilipendwaga mno na watu, ilichezwa miaka ya90, walioicheza ni muigizaji RICHARD GERE na JULIA ROBERT, movie hii iliuza dola million 464, hii ndo movie iliyomtoa JULIA ROBERT.

JULIA ROBERT


Julia Roberts

Julia ni muigizaji anayesifika Hollywood kwa kuwa na SMILE ya ajabu, yani anasmile ya kipekee huyu mwanamama, kwenye hii movie ya PRETTY WOMAN, Julia amecheza kama changudoa ,yani ni movie nzuri mno,





No comments: