Mwanamama wa Uganda aliyetuhumiwa kuwa na mahusiano na mwanamziki wetu bei mbaya DIAMOND PLATNUMZ amekanusha kwamba wapo kwenye mahusiano na Diamond ila amesema wakati wanafanya LE PROJECT walisambaziana upendo kidogo .
HAPA WAKISAMBAZIANA UPENDO ZARI NA DIAMOND BIN LADEN.
HAYA NI MAJIBU YA ZARI HAPO CHINI
2 comments:
Heeeeee,Diamond kaka yangu siyo kila kitu kingahapo ndiyo zahabu apana ,angalisho na ukimwi mdogo Wangu ungali mdogo na una nyota lakini angalisho usije uka aribu nyota yako .kwa nini una muhukumu baba yako?na wewe una fata njiya yake.like father like son ,atuwezi kukupangiya mahisha lakini ujirekebishe kwa sababu asiye sikiya lamkuu ufunjika muguu nahishiya apo kwa leo lakini jirekebishe usibebe TANZANIA yote kichwani
ukifuatia story za hapa Duniani, unaweza ukapata kichaa mambo yote yaha tunayofanya hapa duniani...na bado tunaendelea kufanya ujinga huhu..., tunajiuliza lakini sisi ni wakinanani, tumetoka wapi, nani katuumba, tuko hapa kwaajili ya kusudi gani, nabaada ya kuondoka hapa tunakwenda wapi na kufanya nini??
Post a Comment