Friday, July 18, 2014

THIS TIME WAMEMCHOKOZA....nani? MANGE KIMAMBI



Kwanza kabisa wote mnaonikanya niache kajambeni kule……
Mbona wakati hawa kunguru wananichamba bila sababu mlikuwa hamtumi comment za kuwakanya? mbona mlikuwa
mnatagiana tu mkasome? Mimi nikiamua kuwa chokoraa kama wao ndo mnajifanya mnajua kukanya watu? haya mtasema kwa Linda  na Chagga mkinitetea wanawablock mbona kwa Trebella sikuona hizi comment zenu za busara? leo ndo mnajua kuwa wanawake tusidhalilishane? sijui wanawake tupendane?
Marehemu baba yangu alivyokuwa anavuliwa nguo ,tena basi kwa story za uongo mtupu walizozitoa kwenye blog ya utamu enzi zile mbona sioni mkiwakanya
na kuwaambia wasimdhalilishe baba yangu? Mimi nikiwadhalilisha ndo mnajifanya nisiwadhalilishie wanawake wenzangu? Mimi sio mwanamke
mbona nikidhalilishwa hamuwakanyi? mimi ndo sitakiwi kujibu? Hivi mnadhani mimi nna roho ya chuma? hawa ndo wana roho ya binadamu wanaumia?
au sababu hamuonagi nikilia ? au kwa vile mnaonaga my hardcore side tu humu ndo mnadhani siumii? au mpaka nijipige picha nalia niweke humu ndo mtaanza kuwakanya? Hivi ile kampeni walionifanya juzi kama ningekuwa sina ushahidi wa kujitetea hamuoni kwamba ndo biashara yangu ingekuwa imekufa? hamuoni kwamba wali mess na life yangu? mimi nikimess na life zao ndo mnajifanya mnabusara za kukanya watu?
Ndo mnajifanya mnajua dini,mnajua huu ni mwezi wa toba? mbona juzi wakati nachambwa sikuona mtu akiwaambia hawa huu ni mwezi wa Ramadhani waache? leo ndo mnajua mambo ya dini. Wanafki wakubwa, mnachagua watu wa kuwakanya?
Sasa nasema hivi mkiendelea kunikanya kuhusu picha za Chaga ndo ntaweka na za nyapu humu,, Mpaka banner la Voda ntatoa niweke picha za nyapu yake, mnaona hizo picha za instagram zilipo? ntatoa niweke picha za nyapu ya Chaga tu, yani mpaka mtu akiingia humu anafungulia swaumu automatically ,,,,mniache.  Ngoja nione comment ingine ya kunikanya ndo
mtajua kama nadhalilisha wanawake wenzangu au vipi.
WANAFKI WAKUBWA


HAYO NI MANENO YA MANGE KIMAMBI LEO.







4 comments:

Anonymous said...

SIPENDI TABIA ZA HUYU DADA MUNGU ANISAMEHE SANA.

Anonymous said...

Ila jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mange safari hii alitulia kimya akawa anaendelea na maisha yake, kilichowasibu wakina chagabibi kuanza kuchokonoa ni nini? maana wamemuanza wenyewe uchokozi, sasa walitaka Mange anyamaze tu,

Anonymous said...

STELLA TILYA WE UNAJIJUA KABISA HUNA SIFA NZURI KWENYE JAMII, HASA TABIA ZA UMALAYA, UKAANZA TENA KUMCHOKOZA MANGE, MWENZAKO HATA KAMA WANAMSEMA MCHOKOZI LAKINI ANGALAU SIO MALAYA NA HANA MAKASHFA YA UMALAYA, ONA SASA ULIVYOAIBIKA, YANI ILE PICHA YA NYAPU NJE PAMOJA NA SHANGA ZAKO NI AIBU SANA SIJUI WAZAZI WAKO WAKIONA WANAJISKIAJE, HIVI UNGEKAA KIMYA UKAENDELEA NA MAISHA YAKO UNGEPUNGUKIWA NINI? ILA UKAONA UANZE KUMCHOKONOA M HAYA SASA ONA YALIYOKUKUTA.

Anonymous said...

Hawa walitukanwa wamejitakia wenyewe kuingilia mambo ya mtu na biashara zake kujifanya wajuaji. Mawigi ya quality siku zote yapo bei zake juu mno na yanatemea urefu pia aina ya nywele. mfano kuna baadhi ya webside virgin hair za nchi tofauti zinaanzia USD 350 ukifika kwenye urefu kama unataka ndefu labda ínch. 22 zinafika mpaka 150 USD. kuna hair desity(thickness of hair)ukitaka 150% zinafika mpaka 75. ukitaka labda silk top hapa katika inaweza fika hadi 75 kwa hicho tu postage usd 50 kwa sisi wa EU. haya ushuru likija huku wa chini ni usd 50. ukichanganya hizi pesa zote 750 au zinaweza kuzidi. mawigi ya quality yapo juu sana yale mawigi wanavaa masuper star marekani baadhi yake hayashikiki yapo juu mno. kuna web side wanauza mawig rahisi sana lakini mengi yake quality yake ipo chini sana. mimi mwenyewe nimenunua mawig sana na nimejalibu kuyauza pia kama wig ni quality ya juu huwezi pata faida ya hivyo kama walivyompandikizia mangi.