Inasemekana kwamba eti muigizaji Wema Sepetu alishindwa kuingiza sokoni filamu yake iliyokuwa inasubiriwa na watu wengi ya SUPER STAR kutokana na kutapeliwa na mmoja wa wafanyakazi wake aliyekua anaitwa Chidy mwenye asili ya kiarabu, inasemekana Wema alimlipa Chidi kiasi cha shilingi 5000,000 ili kuiedit filamu hiyo lakini Chidy hakuedit na badala yake amekua akimpiga chenga Wema, mpaka sasa inasemekana Wema ameshariport polise na Chidy alipewa siku saba aifanye kazi hiyo na kumkabidhi Wema hiyo movie,
HAYO NI MAELEZO YA BEAUTFULL ONYINYE WEMA SEPETU, NAMTAFUTA CHIDY ILI TUBALANCE STORY.
No comments:
Post a Comment