JAMANI DUNIA SIJUI INAELEKEA WAPI, HIVI SIKU HIZI UKIWA NA RAFIKI YAKO WA KIKE HUWEZI KUMWAMBIA MANENO MAZURI AU KUMUITA MPENZI TAYARI UTAAMBIWA UNASAGANA NAE, BABA AKIMUITA MTOTO MY DARLING WATAMWAMBIA ANATEMBEA NAE, WANAUME WAKIWA VERY CLOSE WANAAMBIWA NI MASHOGA, KWELI DUNIA IMEBADILIKA NA HAYO MAMBO YAPO LAKINI TUJITAHIDI KUONGEA PALE TUNAPOKUA NA USHAHIDI KABISA, MFANO PICHA WAKIWA KWA BED, AU KAMA WAHUSIKA WAKIJITANGAZA HADHARANI.

No comments:
Post a Comment