Wednesday, July 16, 2014

MANGE KIMAMBI LEO ACHACHAMAA






Dada wa muigizaji Wema Sepetu leo amechachamaa kwa watu wanataka kumuaribia biashara, nifupishe story, MI SIWAJUI HAO WANAOMSEMA MANGE NA BIASHARA YAKE, ILA JAMANI HIVI KAMA MTU HUMPENDI KWANINI KUMUINGILIA KWENYE MAMBO YAKE, KAMA ANAFANYA BIASHARA YA UONGO NI YEYE NA WATEJA WAKE NDO WATAJUANA, KAMA ANAUZA VITU VIBAYA STILL NI YEYE NI WATEJA WAKE, KUMFWATILIA MTU MAANA YAKE HUYO MTU ANAKUNYIMA USINGIZI. TUACHE MAOGOMVI WAPENZI, HATUJUI KESHO IKOJE, HATUJUI NANI ATATUSAIDIA KWENYEMAISHA HAPO MBELE, TUWE NA WIVU WA MAENDELEO,  MI NAUMIA KUONA WANAWAKE WAZURI WANAGOMBANA HOVYO KWENYE MITANDAO, AU MTU ANAFANYA KITU CHA MAENDELEO MWINGINE ANAKIFANYIA FITNA, HATA MUNGU HAPENDI,  siko upande wa yeyote.

No comments: