Nimetumiwa picha ya gari jipya la Dida, hongera sana Dida, hii ni baada ya siku mbili za talaka, ila watu wameona kama anamrusha roho mtalaka wake, SASA EZDEN NI KIJANA MDOGO SANA HATA MIAKA 30 HAJAFIKA HALAFU MSOMI WA CHUO KIKUU NA PIA ANAUPEO SANA KWENYE MAMBO YA MAENDELEO VITU KAMA HIVI MBONA VIDOGO KWA KIJANA MWENYE MALENGO KAMA YULE UKIMPA MIAKA MITANO TU MBONA ATAMILIKI ZAIDI YA HAYO, mi naona labda Dida amejiwekea tu kujipongeza lakini kwa kumrusha EZ hapana huwezi mrusha kijana kama Ezden msomi , wanaorushwaga roho ni wale mabongolala unajua hawawezi kutoka. anyway hongera sana DIDA gari zuri.
No comments:
Post a Comment