Tuesday, July 15, 2014

HONGERA SANA KAJALA MASANJA KWA KUWAKUMBUKA WALEMAVU

IMG_6542
Keki ya Pauline
IMG_6557


IMG_6560
Wakiingia na zawadi katika shule ya walemavu ya sinza maalumu
IMG_6468




IMG_6535


IMG_6527


IMG_6551


IMG_6510


IMG_6506


IMG_6490


IMG_6498




IMG_6478


IMG_6464


Na hapa wakina Kajala wakiwa ofisini kwa mwalimu kabla ya kwenda kuwaona watoto.
IMG_6459
hawa ni walimu wa wanafunzi hao, kweli mnastahili pongezi walimu


IMG_6503


Kajala hongera sana, najua kwa kua wewe ni superstar basi ingekuwa mwingine angeandaa party wakala wakanywa na masupersta wenzake, lakini wewe umekumbuka kwamba kuna wanaohitaji kuliko marafiki zako wa siku zote, ingekua Pauline ni motto mwingine angetaka kwenda kufanyiwa sherehe kubwa na wenzake lakini Pauline amejua umuhimu wa watoto wengine ambao ni wahitaji, wenye kuhitaji mapenzi makubwa kuliko rafiki zake wa siku zote, ni jambo la Baraka sana ulilofanya Kajala, umeweza kumwonyesha mwanao upande mwingine wa shilingi, na pia umemuonyesha mwanao jinsi utoaji ulivyo, maana naamini hela uliyotumia hapo ungesema uwe mchoyo ungemnunulia mwanao lizawadi lizuri lakini kwa kua umekumbuka kutoa umeamua kwenda kugawana na wahitaji, hongera sana,


LEO KAJALA AMEFANYA BIRTHDAY PARTY YA MWANAE PAULINE KWENYE SHULE YA WALEMAVU YA SINZA MAALUM AKIAMBATANA NA WASANII MBALIMBALI.

No comments: