Sunday, July 6, 2014

DIVA WETU WA JUMAPILI HII NI ROSE NDAUKA.


                                                     BEAUTFULL ROSE NDAUKA






KILA JUMAPILI TUTAKUA NA WEEK END DIVA AMBAPO WEEK ILIYOPITA ALIKUA NI LULU MICHAEL, JUMAPILI YA LEO NI ROSE NDAUKA, HUYU MSCHANA HUWA NI MZURI MNO YANI, RANGI YANGI, SURA, MIGUU, UMBILE YANI KILA KITU KIZURI KUHUSU YEYE, HUWA NAMU ADMIRE SANA. WEWE JE MDAU UNAMUONAJE?



No comments: