Friday, July 11, 2014

HABAREE YA MUJINI LEO NI KUHUSU MAPOKEZI MAZITO YA DIAMOND PLATNUMZ.


HAPA AIRPORT ENEO LA WASAFIRI KUWASILI.


26mond
DIAMOND BILA KUJUA ILE ANAINGIA TU SIKAKUTA NYOMI INAMNGOJA.


55mond


NYOMI HIYO ILIKUA HAISIKII CHA SECURITY WALA NINI WANACHOTAKA NI KUMUONA DIAMOND TU.
53mond


MCHUMBA WA DIAMOND WEMA SEPETU NA YEYE KAMA KAWA NDANI YA NYUMBA
49mond


WEMA KATIKA KUSALIMIANA NA WATU
43mond


KIJANA WETU AKIWA KASHANINGIA KWENYE GARI TAYARI ILA CAMERA NYUMA UNAAMBIWA.
62mond


ROMY JONS NAE KAMA KAWA KAFIKA TU KASHIKA UDEREZA, ANAJUA KAIBEBA ALMASI KWA HYO NI LAZIMA AWE DEREVA YEYE ILI ALMASI IFIKE SALAMA.
68mond
NYOMI MPAKA KWENYE GARI UNAAMBIWA ROMY HAKUENDESHA NYOMI ILISUKUMA GARI MPAKA SINZA.....nadanganya..
67mond


aawwwwDIAMOND WEE YANI HAKUNA KAMA WEWE.
57mond




NI HAYO TU WAPENZI, TOKA TUZO ZA BET ZILIPOFANYIKA DIAMOND ALIKUA BADO HAJARUDI ALIKUA ANAPIGA MASHOW HUKO MAREKANI NA JANA USIKU NDO KARUDI, KWA KUWA YEYE NDO MWANAMZIKI PEKEE NA WA KWANZA TANZANIA KUWA NOMINATED KWENYE TUZO KUBWA ZA BET BASI MASHABIKI WAKAONA HUYU NI SHUJAA NAYETAKIWA KUPOKELEWA KISHUJAA NDO KAMA MNAVYOWAONA WAKIWA NA MABANGO YA KUMPOKEA SHUJAA.....mi ninavyompenda Diamond jamani, yani huwa namuona kama mdogo wangu wa tumbo moja, pamoja na kwamba Diamond kakulia kwenye umaskini lakini hajawa limbukeni wa mafanikio na hela alizonazo, heshima kwa watu kama kawaida, nampenda sana huyu mtu jamani,

No comments: