Tuesday, July 22, 2014

TUMPONGEZE FROLA MVUNGI KIDOGO.







Juzi jumapili nilikua kwenye hoteli moja huko mbezi beach nikabahatika kumuona muigizaji Frola Mvungi akiwa anaogelea, yani huwezi kuamini kwamba katoka kujifungua juzi juzi, umbo lake limerudi kawa kama Frola yule wa zamani, tofauti na wanawake wengi ambao hunenepeana sana na akizaa ndo urembo unaisha kwa Frola tofauti kaendelea kua kama zamani, hongera sana Frola kwa hilo.

No comments: