Friday, July 4, 2014

MUIGIZAJI BATULI NA MTUNIS WANAMAHABA NIUE AU WANASINGIZIWA?








Nimesikia kwamba muigizaji wa kike Batuli anamahusiano ya kimapenzi na muigizaji mwenzake anayeitwa Mtunis,  sijui ni kweli au la maana natamani ningekua na mawasiliano ya mmoja wapo nimuhoji,


 ILA KAMA NI KWELI NYIE WATU MBONA MNACHAGUANA WOTE WAZURI JAMANI, YANI KAMA SLIM OMARY NA MKEWE ASIA WOTE NAO WAMECHAGUANA WAZURI THIS IS NOT FAIR AT ALLL AT ALL.

No comments: