Sunday, July 6, 2014

KUTOKA KWA SINTAH BLOG KUMUHUSU DIVA

                                                   PENDO A.K.A DIVA





mtaalam wa kutafuta kikiii mjini kawasili na none other than Diva the bawse akijiachia waziiii, daaah kweli Bongo mishe mishe nyingi Arifeeee Tukiwa tunamalizia week je wewe hujachoka na story ya Flora na Emanuel?Diva je???
  1. Hahaaa huyo mbuzi anaejiita diva anaboa na picha zake vipande vipande hajawai kupost picha full hiyo Tu inajieleza asivyojiamini.
  2. ReplyDelete


  3. diva ana shida she is so insucure na hajiamini hata kidogo ana matatizo ya kisaikolojia inabidi akaone wataalam anahitaji personal rehab msimlaumu bure she is fustrated n confused
    ReplyDelete
  4. Huyu Diva jamani ni mjukuu wa mzee Semkiwa wa korogweee, nawajua wote hawa, huyu hata kwa babu yake mzaa mama kisa anajiona matawi, mkitaka ntawaletea picha ya nyumbani kwa babu yake. Nawajua hata wajomba zake, mamake mdogo, watoto wa marehemu mamake mkubwa, yn I know her in and out, we Pendo wewe unaejiita Diva, loh!
Yaani unajijua background yako hovyo alafu wakija mjini wanataka wajioneshe tofauti. Wanalazimisha umaarufu mavi na kugombana na watu . Wadada kama Diva kama mnaisoma hii acheni maana ukianza kuanikwa maisha na maskendo yako unalialia unachafuliwa. Sasa kama Diva kutwa kujikweza na kugombana na wenzie hapo mjengoni. Ndo mnakujaga achwa uchi kwenye mablog kama hivi
  1. Honestly Diva needs to grow up sm balls..yaan huyu mdada km ana kapepo vile!Sijawahi kumuelewa..she is too dramatic!


  2. Diva kuna kitu anajaribu kuficha kwa nguvu huyu, stop using much energy mamii. Tafuta kitu cha maana ufanye then you won't have to seek for attention, sawa?
    ReplyDelete
  3. huyo hana udiva wowote na mipicha yake vipande vipande diva ni flora lyimo mbuta nanga..yeye picha zipo in full kila kona ya mitandao na hajali ''sasa diva huyu mbuzi ...hebu tuondokee apa kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
NIMEITOA KWA SINTAH HIYO HABARI NIKAONA NIILETE NA WADAU WANGU WAIONE, HUWA SIMJUI VIZURI HUYU MSCHANA NIMEANZA KUMJUA MWEZI ULIOPITA,

1 comment:

Anonymous said...

Huyu dada ni limbukeni wa maisha, anajaribu kufanya awe kama skins Rihana ila ndo bush beibe, ukweli anatafuta kiki sana? Kwa wasomi huyu anaitwa Kilaza mzuri tu