Thursday, July 17, 2014

KWA MWENDO HUU WA VICTORIA KIMANI HATA KAMA MIMI NINGEKUA WEMA LAZIMA WIVU UNGENIPATA



















Bidada mwanamziki wa Kenya Victoria Kimani  akishoot video yake mpya na mchumba wa muigizaji Wema Sepetu , kuna kipindi Wema alipataga wivu na kwenda kugombana na Diamond studio kisa Victoria Kimani, sasa juzi kati wameshoot video mpya na Victoria ndo katinga hicho kivazi, YANI JAMANI HUKO KULIKUA NI KUMTENGUA SWAUMU DIAMOND WA WATU, WE VICKY KIVAZI GANI HICHO WATU TUSHINDWE KUANGALIA TV TUKIWA NA WAZAZI WETU, HALAFU HII NYIMBO UNATAKA IPIGWE MAREKANI? MAANA KAMA NI EAST AFRICA SASA HIVI HAPA TANZANIA BAKWATA WATAIKATAZA LABDA KWENU KENYA, YANI MI SIJAKIPENDA KABISA HICHO KIVAZI MDADA UMEKAA UCHI KABISA, KUMBE NDO MAANA WEMA AICHUKIAGA, YANI SIJUI MI NDO MSHAMBA, AU NDO MAMBO YA MAFASHION HAYA, KWA HAPA TANZANIA KWA NINAVYOJUA MIMI THIS IS TOO MUCH,







No comments: