Friday, July 18, 2014

KA LULU MICHAEL JANA KAMEPATA MLO WA SIKU NA WATOTO YATIMA.

Jana ka Lulu kalienda kupata mlo wa usiku na watoto yatima wa kituo cha sinza, kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa moyo wa upendo na wa utoaji.
hawa ni baadhi ya watoto waliopata nafasi ya kula mlo wa siku na ka dada Lulu.
Lulu akiwa kambeba mmoja wa watoto yatima.





kadogo kake Lulu hako, yani mi nawapenda meno yao tu,

hapa Lulu akishuhsa vitu mbalimbali alivyowapelekea watoto yatima.




katika picha zote hii ya chini ndo imenifurahisha sana, hapo lulu sijui anaambiwa nini na mama Kanumba sasa kadogo kale Lulu nakenyewe hakapo nyuma kametega sikio, yani haka ni kaandishi kahabari kenzetu.





picha ya chini Lulu yuko na mama mlezi wa kituo hicho cha watoto yatima cha Sinza.





Tunampa hongera sana huyu mama kwa kujitoa kulea watoto wasio jiweza, to be honest hii ni kazi kubwa sana, kulea motto mmoja tu wa kumzaa ni kazi sasa kulea watoto zaidi ya kumi itakuwaje? kutoa ni moyo wapenzi tujitahidi kutoa hasa kwa wahitaji kama watoto yatima maana hawana mtetezi.

No comments: