tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry.
rahelimacdonald@gmail.com
0713-608524
Sunday, July 13, 2014
DIAMOND PLATNUMZ NA TERRENCE PAMOJA KILA SEHEMU
Kijana akisalimiana na mashabiki wake
Haya mambo ni jana pale mlimani city kwenye uzinduzi wa movie ya Marekani inayoitwa THINK LIKE A MAN 2 ambapo mmoja wa waigizaji wa movie anayeitwa TERENCE kutoka Marekani pia alikuwepo ndani ya nyumba.
No comments:
Post a Comment