Sunday, July 13, 2014

OUR SUNDAY DIVA .................SABBY ANGEL











Huyo murembo anaitwa SABBY ANGEL, ni muigizaji wa bongo movies, moja ya movie alizocheza ni HARD PRICE ya Ray Kigosi, nilipenda sana alivyocheza kwenye hiyo movie yani, na hivi sasa anaanda movie yake mwenyewe sijajua itaitwaje bado. na week hii SABBY ANGEL ndo Diva wetu.

No comments: