Wednesday, July 23, 2014

LETS WISH MY BEST FRIEND A HAPPY BIRTHDAY.....CHRISTINA MOKIMILYA.



Huyu ni rafiki yangu mpenzi na wapekee sana, na pia anamchango mkubwa sana kwenye blog yangu, yeye ndo aliyenifungulia hii blog, na sasa na viewers zaidi ya laki moja shukrani nyingi zimuendee yeye na Mungu wangu. love yu sana sana my siss,

3 comments:

Anonymous said...

Eh huyo rafiki yako mrembo anakasura kama cha mtoto

Anonymous said...

HUYU SI TINA HUYU, NAMJUA TULISOMAGA NAE SECONDARY, HAPPYBIRTHDAY TINA.

Anonymous said...

kumbe huyu ndo sababu ya sisi kupata maubuyu kwa tanzanitemovies, Mungu amtangulie na tunamtakia bday njema