Tuesday, July 8, 2014

MCHUMBA WA WEMA SEPETU AJA NA KUBWA KULIKO






YANI NILIVYOIONA HII VIDEO NIKASEMA HUYU DIAMOND NDO ANASEMA HII NI KWA AJILI YA SOKO LA NYUMBANI? mbona hii ni soko la kimataifa kabisa, kama wanaigeria wakina Davido wanatuchezesha MICHIRIKU ya kwao, SKEREU si mchiriku huo, kwanini na wenyewe wasicheze mchiriku wa kwetu, Fally Ipupa anatuchezesha mchiriku wa kikongo tena lugha hatuelewi kwanini na sisi tusiwachezeshe yetu, tena Diamond anaweza kushangaa akienda hizo nchi za magharibi watu wakawa wanang'ang'ania wachezewe mdogomdogo, kama sisi tunavyowang'ang'aniza wakina Fally watuchezee nyimbo tusizojua hata maana yake.




HONGERA SANA DIAMOND WA WEMA SEPETU, THIS IS SO AMAZING.

1 comment:

Hair said...

Kwakwel napenda kuingalia tu ol da tym lol halal yako dai k uende sha prado goo dai hope dis is nt da end z jus da beginin we love uuuuuuuuuu