Tuesday, July 15, 2014

HAPPY BIRTHDAY PAULINE WA KAJALA MASANJA

                        KAJALA NA MWANAE PAULINE
KAJALA,PFUNK BABA WA PAULINE NA PAULINE MWENYEWE

Leo kwenye ukarasa wake wa instagram msanii wa movie Kajala Masanja kaandika ujumbe mzito na wenye msisimko akimuwish mwanae katika siku yake ya kuzaliwa, moja ya maneno yaliyonigusa ni pale kajala aliposema kwamba mwanae amemuonyesha mapenzi makubwa sana kwake hata pale dunia ilipomtenga na kumzomea mwanae alisimama nae na kumtia faraja, pia Kajala alisema anampenda mwanae kupita kitu chochote na ataendelea kumpenda hata aweje, na alikumbushia jinsi alivyopata shida na mwanae lakini alisimama kidete mpaka mwanae kafika hapo alipo, Pauline leo katimiza miaka 12.

WATOTO WANAKUA SANA JAMANI, NAKUMBUKA NILIKAONA KA PAULINE KAKIWA KADOGO WAKATI KAJALA ANASHOOT MOVIE YA RELATO, KALIKUA KACHANGAMFU MNO HALAFU KANAMCHANGAMKIA KILA MTU, NA KAJALA AMEKALEA VIZURI SANA NILIKAA NAO MUDA MFUPI LAKINI NILIONA JINSI KAJALA NA MWANAE WALIVYO NA CONNECTION NZURI, PIA NILIONA JINSI KAJALA ANAVYOKASIMAMIA KWENYE MAMBO YA MAANA KAMA KUHESHIMU WATU NA KUSALIMIA WATU, nakumbuka kajala alikabebea mpaka madaftari kakawa kanafanya kazi za shule, kajala anashoot movie akipumzika anakaangalia kamefikia wapi kwenye kazi za shule, HONGERA SANA KAJALA, KWA KUKUZA, UNAKABINTI KAZURI MNO. TUNAKAOMBEA MUNGU ILI KASOME NA KAENDELEE KUWA NA UPENDO KWA KILA MTU KAMA KALIVYO SIKU ZOTE.





No comments: