tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, July 28, 2014
HII NDO SABABU KUBWA INAYOMFANYA DIAMOND KUENDELEA KUPANDA.
First of all napenda nimshkuru sana Mwenyez mungu, Mama, Family, My management, kipenzi changu, Media, bila kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa kwani sikuzote mmekuwa mkinisupport bega kwa bega kwenye shida na raha...Niwashkuru pia Wasanii wenzangu toka nje na ndani ya Tanzania kwani naamini changamoto tunazopeana ndio zimefanya hadi sasa mziki wetu ufikie hapa...hakika tunzo hizi si zangu bali ni za Muziki wa Bongo flavour... Mwisho kabisa nimshkuru Mh Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa mchango wake wa kila siku katika sanaa yetu!... Mr President your Son Did it!!!!! #MdogMdogo
KAMA MNAVYOYAONA HAYO MANENO HAPO JUU NI YA DIAMOND AKITOA SHUKRANI BAADA YA KUJICHUKULIA TUZO YA AFRIMAMA, siku zote Diamond anapopata fanikio lolote huwa haachi kumweka Mungu mbele kwa kumshukuru na huwa anafwata mama yake baada ya hapo mpenzi wake, kama hyo haitoshi mara nyingi Diamond amekua akiweka wazi kwamba chochote anacho achieve ni kwa ajili ya watanzania wote kwani bila wao yeye asingekua hapo, yani ukijua kushukuru namna hii lazima Mungu abariki kazi ya mikono yako, wasanii wengi tumewaona wakianguka kwani wanapofanikiwa wanamsahau Mungu starehe kwao mbile, pili wanasahau mpaka wazazi wao, maisha ya starehe yanakua ya gharama sana lakini ukitazama mzazi wake anapoishi utasikitika sasa kunakubarikiwa kweli hapo, pia akishafanikiwa basi akikutana na watu njiani utafikiri awatemee mate anasahu kwamba hao watu ndo waliomfanya afike juu, akiwa na girlfriend ndo kabisa hawezi kumtaja hadharani maana anamademu wengi sasa atamtaja nani amuache nani, LAKINI KWA DIAMOND NI TOFAUTI AKIWA NA MPENZI NI MOJA NA DUNIA NZIMA ITAMJUA KWANI NI MUWAZI, MAMA YAKE MZAZI ANAFURAHA KWANI DIAMOND ANAHAKIKISHA MAMA YAKE ANAPATA KILA ANACHOTAKA, WANANCHI TUNAMPENDA KWASABABU AKITUKUTA NJIANI ANATUPA HI BILA MARINGO, WASANII MKIFUATA HAYA LAZIMA MTAFIKA MBALI, SANAA SIO UCHAWI NI KUJITUMA NA BARAKA KUTOKA KWA MUNGU .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment