Friday, July 25, 2014

JOKATE MWEGELO ANASAKA MUME..







Kuna sehemu nimekuta habri inasema muigizaji Jokate anatafuta mume wa kumuoa, hivi sasa yupo single, kwa hyo akitokea mwanaume mwenye vigezo atakua hana hiyana zaidi ya kukubali kuolewa.


HIVI HAYA NI YA KWELI AU MAGAZETI YANATUNGAGA, YANI JOKATE ASAKE MUME KWA KUJITANGAZA MAGAZETINI?

No comments: