Friday, July 25, 2014

UMESIKIA HII YA KAJALA MASANJA.....






Inasemekana uigizaji mwenye umbo matata wa Bongo movies Kajala Masanja ameangusha bonge la party nchini CHINA, naskia party hiyo ilijumuisha marafiki zake kibao ambao wote walikula kunywa na kusaza kwa gharama za Kajala peke yake, bila kusahau kwamba kabla hajaenda China Kajala alishaachia party kama mbili tatu hivi za bday ya mwanake,


NATAFUTA PICHA NIWALETEE UBUYU KAMILI. hongera sana Kajala kwa kutimiza miaka kadhaa, Mungu akusimamie mpenzi.

No comments: