Thursday, July 10, 2014

RAMADHANI YA MSANII BATULI IKO HIVI..




MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ametamka kuwa hakubaliani kabisa na wale mastaa wenye tabia za kufuturisha watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi
Akizungumza na paparazi wetu, Batuli alisema anaamini kwamba twawabu nzuri zinapatikana kwa kufuturisha watu wenye mahitaji kama watoto yatima na ndiyo maana yeye amejiandaa kuwafuturisha.
“Wasanii tubadilike, tuwafuturishe watu wenye mahitaji ili kuwafanya na wao wafurahi, banafsi nitafanya hivyo mwezi huu, nitafuturu na wasiojiweza,” alisema Batuli








ILA TUACHE YOTE JAMANI BATULI MZURI, YANI HANA KASORO SIJUI KWENYE TABIA ILI KIMUONEKANO TU MAMA UMEJAHALIWA.

No comments: