Msanii anayeongoza kwa mauzo ya kazi zake Bongo movies nzima JB (JACOB STEVEEN) jana nusu iwe mwisho wa yeye kuwa muigizaji, hayo yalitokea wakati wa mechi kati ya Ujerumani na Argentina ambapo inasemekana JB ni shabiki mkubwa sana wa timu ya Ujerumani akaamua kuweka bet kwamba endapo timu yake ya Ujerumani ikishindwa basi na yeye kuigiza basi. hayo yalisemwa na rafiki wa Jb ambaye ni mtangazi wa TBC1 wakati akitangaza mechi hiyo.
TUNASHUKURU MUNGU GERMAN IISHINDA KWA HIYO JB BADO TUTAMUONA SANA KWENYE MAMOVIES.
No comments:
Post a Comment