Thursday, July 10, 2014

TBT YA WASANII.......

1. WEMA SEPETU hii siku alikua na kesi na Bob Juniour Enzi hizo kama mnakumbuka.
2. JACKLINE WOLPER hapa alishindaga ijumaa sexiest girl.


3.Hapa zilikuwaga ndondi kati ya WEMA NA WOLPER.


4. HAPO KIPINDI KILE WEMA NA DIAMOND BADO HAWAJAACHANA, WAKAACHANA NA SASA WAPO PAMOJA TENA.

5.WEMA NA MAREHEMU STEVEEN KANUMBA KIPINDI HICHO WAKIWA NA MAHUSIANO.
.

6. MAREHEMU KANUMBA AKIWA NA RAIS WETU MPENDA WATU JAKAYA KIKWETE.


7. IRINE UWOYA KIPINDI HICHO BADO HAWAJAACHANA NA MUMEWE



8.IRINE NA MUMEWE SIKU YA 40 YA MTOTO WAO.

9. KAKA RAY KIPINDI HICHO AKIWA KIBONGE KAMA JB.

10. MAINDA SMALL BABY ENZI ZAKE.
10. KA LULU MICHAEL KALIPOTIMIZA MIAKA 18.

11. MY BEAUTFULL KAJALA ALIPOOANA NA MUMEWE.

12.SHAMSA FORD ALIPOVAA SALE SALE MAUA NA MWANAKE MPENZI.

13. DIAMOND ALIPOKUA BENET NA HALIMA KIMWANA

14.MIMI RACHEL KAYUNI BLOGGER WENU MWAKA 2010.

OKAY WAPENZI NAWAPENDA SANA.byeeeeeeeee

No comments: