Wednesday, July 9, 2014

NETWORK IMEKATA KABISA KWA BLOGGER LEO






Mpaka sasa hizi tuzo saba kama za DIAMOND tulizozipata BRAZIL zimenikatisha network kichwani sijui hata niblog nini leo. baadae wapenzi.

7 comments:

Anonymous said...

POLE SANA RACHEL, PIA HONGERA SANA KWA BLOG YANI UNAJITAHIDI SANA KUPOST VITU VIZURI VIZURI,KILA SIKU HATUKOSI KUINGIA HUMU

Anonymous said...

Yani mi ndo nimeumia sana na brazil yani sikutegemea mambo kama yanaweza kua hivi.

Anonymous said...

out of topic, Rachel uweke siku watu tumshauri wema manake mambo anayoyafanya hayaendani na hadhi yake, kajaa sana uswahili.

Anonymous said...

HIVI NA MI HUWA NASHANGAA, HIVI WEMA YE NDOTO YAKE NI KUA WIFE WA DIAMOND TU, HANA NDOTO YA KUJIENDELEZA KIMAISHA AU KUENDELEZA SANAA YAKE, YANI DIAMOND ANAVYOTUMIA MUDA MWINGI KUFANYA MAMBO YAKE NA WEMA NAE ANGETUMIA MUDA MWINGI KUFANYA MAMBO YAKE YA MAENDELEO SIO KILA SIKU KWENYE VIGODORO, NA HAYO MADERA YAO HUJUI SUPER STAR NI YUPI NA WATANDALE NI YUPI.

Anonymous said...

Rachel nakupenda utafikiri nimekujua siku nyingi, nakuombea uszidi kusonga mbele, kuhusu Brazil pole mama.

Anonymous said...

Yaaani Ni kweli Yaaani Ni mswahili siku hizi kupitiliza,sijui yukoje yaani Ni tandaleeee ndanindani,Mara vigodoro,Mara sijui nini,mi ananiboa sikuhizi.

Anonymous said...

Ngoja tuache movie iendelee badala afanye ya maendeleo Ni ushoga na uswahiliiili utafikiri kazaliwa mbagala,na hiyo familia ya Domo ya kiswahiliiii.