HAPO CHINI WEMA ALIPOKUA VACATION, LAKINI KWA KIPINDI HICHO HAKUA NA DIAMOND KWA HYO HIYO VACA HAIKUA TAMU KAMA UNAVYOMUONA HAKUA MTU MWENYE FURAHA SANA.
PICHA YA CHINI WEMA ALIPOTOKAGA CHINA, SAFARI HIYO NDO ILIYOWAUNGANISHA NA DIAMOND NA WAKAAMUA KURUDIANA, SASA HAPO NDO KARUDI NAHISI KICHWANI MAWAZO YALIKUA NI KUMUELEZA C KWAMBA WAACHANE HUKU NAE DIAMOND AMUELEZE PENNY WAACHANE ILI WARUDI KAMA ZAMANI YEYE NA DIAMOND WAKE TU.
HAPO CHINI SIKU YA KWANZA WEMA AKITAMBULISHA KIPINDI CHAKE CHA TV CHA IN MY SHOES, AKIWA NDO MSANII WA PILI KUA NA REALITY SHOW BAADA YA LADY JAY DEE.
PICHA YA CHINI WEMA AKIWA KASHINDA IJUMAA SEXIEST GIRL, HAPO FURAHA TELE MAANA MOYO WA DIAMOND KASHAUSHINDA, NA IJUMAA SEXIEST GIRL KASHASHINDA.
HAPA AKIWA KANUNUA LILE GARI LAKE LA PINK
HAPA WALITIBUANAGA NA DIAMOND, BASI KAKA MANAGER AKAWA KARIBU NAE SANA, ILA MTIBUANO ULIKUWAGA WA WIVU TU KUHUSU VICTORIA KIMANI LAKINI DIAMOND ALIDHIHIRISHA WAZI KWAMBA MWANAMKE PEKEE ANAYEMPENDA NI WEMA NA VICKY IKABIDI ASEPE KIMYA KIMYA NA WATU WALIOCHEKELEA WAKABAKI NYWIIIII.
HAPA ILIKUWAGA CHRISSMASS YA PILI, DIAMOND ALIKUWAGA ANASHOW YA WATOTO, BASI NDO WALIKUA WAMETOKATOKA CHINA, KILA MTU KASHAMMWAGA MPENZI WAKE WA ZAMANI, DIAMOND AKAONA ISIWE TABU EMBU NIMTAMBULISHE WEMA UPYA KWAMBA TUMERUDIANA, WATOTO WALILIPUKA KWA FURAHA MAANA WATOTO WALIKUWAGA HAWAELEWI HATA KAMA DIAMOND YUKO NA PENYY WENYEWE WANASEMA MCHUMBA WA DIAMOND NI WEMA, BASI IKABIDI WAWAPE WATOTO FURAHA YA MOYO.
HAPA WEMA ALIPOENDAGA KUNUNUA VIPODOZI VYA GHARAMA, VIPODOZI AINA YA OBAGI.
HAPA WEMA ALIPOKUA ANATAMBULISHA NYUMBA YAKE KUPITIA KIPINDI CHA ZAMARADI.
HAPA WEMA ALIPOKUA AMEFUNGUA RASMI OFISI YAKE YA ENDLESS FAME.
HAPA WEMA ALIPOMKABIDHI MPENZI WAKE TUZO YA MWANAMZIKI BORA WA MWAKA,
HAPA WEMA ALIPOJICHORA TATOO YA KICHINA
HAPA WEMA ALIPOKUA NA RAFIKI YAKE KIPENZI KAJALA
HAPA WEMA ALIPOKARIBISHWA KUTANGAZA KWA MUDA KWENYE CHOICE FM
HAPA WEMA ALIPOMLETA MSANII KUTOKA NIGERIA ANAYEITWA OMOTOLA JELADE BONGO KWENYE UZINDUZI WA FILAMU YAKE YA SUPER STAR
HAPA WEMA ALIPOKUA KWENYE SHOW YA VIJANA ANAOWASIMAMIA KIMZIKI
HAPA WEMA AKIWA AMETEMBELEWA NA MAREHEMU BABA YAKE KWENYE OFISI YAKE YA ENDLESS FAME.
HAPA RANGI YA MWILI YA WEMA ILIPOANZA KURUDI NA KUA ILE YA KAWAIDA NA INAYOVUTIA SANA, HAPO KABLA RANGI YAKE ILING'AA ZAIDI NA WATU KUANZA KULALAMIKA WAKITAKA ARUDIE RANGI YAKE YA ZAMANI
HAPA WEMA AKIWA NA MAREHEMU BABA YAKE PAMOJA NA MAMA YAKE, NAFIKIRI ILIKUWAGA NI EAD.
NA HAPA CHINI NI SIKU AMBAYO WEMA HATAKUJA KUISAHAU MAISHANI MWAKE KWANI NI SIKU AMBAYO ALISHINDA NA KUA MISS TANZANIA NA KUANZIA HAPO WEMA NDIO AKAANZA KUA MAARUFU AFRICA MASHARIKI NZIMA.
NI HAYO TU, WEWE JE UNAIKUMBUKA SIKU GANI YA SUPER STAR HUYU?
3 comments:
Hii blog nimegundua Ni tamu ila watu wengi hatuijui,jinadi basi tukujue?
ASANTE SANA MWAYA.NTAJITAHIDI SANA KUITANGAZA
mimi pia naipenda hii blog saana
Post a Comment