KWANZA ZAWADI YA KADI, mama akajua imeishia hapa........
IKAJA ZAWADI YA KEKI,mama akajua sasa basi maana bday watu wanapewaga keki tu....
EH KUMBE KUNA NDINGA BWANA, hii ilimfanya mama yetu atokwe na machozi.....
HIYO NDINGA IMENUNULIWA NA THE ONE AND ONLY NASEEB.....
NASEEB KILA AKIKUMBUKA ALIPOTOKA, anaona mama yake anamchango mkwabwa sana wa yeye kufika alikofika bila mama yake yeye si kitu.
SIKU YA SHEREHE MAMA AKIWA KATULIA....anatafakari Baraka za Mungu.......
MAMA, BINTI YAKE ESMA,MKWE WAKE WEMA NA MJUKUU WAKE, pametosha kabisa.....
KWA KUA WANADHAMINI DINI BASI SALA ZILICHUKUA NAFASI KWA SANA...
MH HAPA NDO NINAPOPAPENDA MIE, WANGENIALIKA JAMANI WALAU KWENYE hii meza tu....
HAPO WADAU wakisubiri video mbili za kimataifa zionyeshwe, video zenyewe za nani? malizia....
MAMA AKIWA KASHAKAA KWENYE MKOKO WAKE, walah kuzaa kuzuri, embu nifanye fasta na mi nizae..
WEMA nae anakumbukia alivyoshindaga Umiss akapewaga gari na mashamsham kama haya,
MJUKUU BUSY NA UFUNDI wakati bibi na shangazi wanapata champagne
CHEERS MAMA
Ni hayo tu, picha asante MILLARD AYO, jamani yani kweli Baraka za mama ni kubwa mno, hata ujitume vipi kama humjali mama yako hakuna kitu, wasanii wengine tunasikiaga wanahonga wanawake magari lakini DIAMOND hajawahi kuhonga mwanamke gari zaidi ya kuwahonga ma less weag, lakini kwa mara ya kwanza kanunua gari kwanza kwa mama yake, halafu baadae sasa ndo mkewe anaweza kupata lakini itakua kwamba gari la kwanza kutoka lilienda kwa mama yake, hongera sana Diamond, kweli si NDUMBA, NI MUNGU,MAMA, HESHIMA, NA JUHUDI YA KAZI.
1 comment:
Akili zingine matope anamnunulia gari wakati bado wanashare nyumba hizo mil 38 Si angemjengea ili bi dada akakae kwake?we utakaa na mtoto wako mpaka lini?Si ukae kivyako na dai akae kivyake?
Post a Comment