Sunday, November 10, 2013

WILLIAM LEVY (JUAN MIGEL) ANATARAJIWA KUONEKANA KWENYE MOVIE NA MKE WA WILL SMITH

huyu kijana anaitwa Wiliam Levy, ni muigizaji kutoka Mexico, anajulikana sana kupitia tamthilia kali alizocheza ambapo moja wapo ni ile ya MARICHUI. Basi kijana huyu ameamua kupanua wigo wa kazi zake ambapo kuna kipindi alishiriki kwenye video ya mwanamziki J.lo wa marekani, toka hapo amekua akipata kazi mbalimbali za uigizaji nchini Marekani, na leo hii nataka nikupe habari tu kwamba jamaa amecheza movie inayoitwa SALSA na Jada Pinked Smith.

                                                WILLIAM   LEVY
Huyu William alizaliwa mwaka 80, ana mke na anawatoto wawili.

 
                                               JADA PINKED SMITH
 
                                                WILL & JADA.
Ndani ya hii movie William atacheza kama mwalimu wa salsa ambapo bibie Jada atakua ndo anafundishwa salsa na Will halafu baadae uvumilivu unawashinda wanakua wapendanao.

No comments: