hawa ni mastar wakubwa kutoka India, yani ndio wakina Amitah Batchan na Mithun Chakraboty wa sasa. mmoja anaitwa Shuh Rukh Khan na mwingine anaitwa Salman Khan.
huyu Salman Khan yeye anajulikana kama bad boy kutokana na tabia zake zinazomfanya apate matatizo mbalimbali huko kwao India, pia alishakua kwenye mahusiano na muigizaji mkali Aishwarya na kwa jinsi jamaa sifa zilivyomjaa akawa anatangaza wazi uhusiano wao jambo ambalo lilimkera sana Aishwarya na kuamua kumuacha na haikupita muda bibie Aishwarya akaolewa na motto wa Amitah Batchan.
SHAH RUKH KHAN
Huyu yeye ni tishio huko India, na amecheza movie nyingi sana mojawapo iliyompatia sifa kubwa duniani ni ile ya KUCH KUCH HOTAE, jamaa yeye katulia na anamke na watoto wawili.
No comments:
Post a Comment