Hii magazine hapo juu ilitoa picha za ushahidi ya kwamba muigizaji WILL SMITH anaisaliti ndoa yake ya miaka 16, picha hizo zinamuonyesha Will akiwa na muigizaji mwenzie MARGOT ROBBIE mwenye umri wa miaka 23 wakijiachia kama unavyoona hapo juu. Mpaka sasa hakuna aliyekanusha au kukubali uvumi huo, Will ni baba mwenye umri wa miaka 45 na anawatoto watatu.
hii picha ni Will Smith akiwa na mkewe JADA SMITHI PINKED
No comments:
Post a Comment