huyu mama mzungu ndie aliyekwenda kuweka taji kama mke wa mzee Sepetu.
mke mwingine wa mzee sepetu mama yake na muigizaji anayependwa sana Wema Sepetu
huyu ndio motto wa kwanza kabisa wa mzee Sepetu,
Huyu pia ni motto mwingine wa marehemu mzee Sepetu.
Wema sepetu akiwweka mchanga kwenye kaburi la baba yake mpendwa
Wema na huyo point 5 ni dada yake wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao
No comments:
Post a Comment