Wednesday, November 6, 2013

AKIWA NA UMRI WA MIAKA 48, MUIGIZAJI SHUH RUKH KHAN AMESHACHEZA MOVIE NYINGI SANA, NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MOVIE ALIZOCHEZA

hii movie inaitwa BAAZIGAR
 
 
                                           hii inaitwa DEWAANA
 
 
                                           hii inaitwa DEWALE


                                       Na hii inaitwa YES BOSS hapo yupo na KAJOR

Na hii picha ya chini ndo jamaa mwenyewe SHUH RUKH KHAN, picha za hapo juu ni movie alizocheza miaka ya 90, hivi sasa anamiaka 48 na picha ya hapa chini ndivyo alivyo sasa

No comments: