hapa Wolper akiwa kapendeza kabisa kwani kajisitiri vizuri, na pia alikua akiitwa Ilham
Hapa Wolper akiwa kwenye gari yake aliyopewa na mchumba wake wa kipindi hicho ambaye ndie alikua chanzo cha Wolper kuamua kuingia dini nyingine.
baada ya muda kupita Wolper ameamua kurudi tena katika dini yake ya awali ya ukristo. na hili ni kanisa la KKKT analosali mrembo wetu huyu.
Hapa Wolper akiwa nje ya kanisa baada ya ibada kuisha,
No comments:
Post a Comment