Hapa kidume Jim akajikakamua mpaka akapata limo huko Spain. akakodisha na kumpakia Nadia mpaka kwenye restaurant
hapo wakiwa kwenye restaurant nadia akiimbiwa happy birthday.
hapa wakienda kutembelea maeneo ya kihistoria huko Spain
hawa wote ni waigizaji, kwa Tanzania hakuna muigizaji aliyewahi kujaribu kufanya kufuru za fedha nchi za watu, ila kwa Nigeria na Ghana ni kawaida kuwaona wasanii wao wakienda mapumziko nchi mbalimbali, hapa kwetu nilimuona Wema tu kaenda Zanzibar.
No comments:
Post a Comment