JANEFER LOPEZ
KATE HUDSON
Janefer ana umri wa miaka 44, na ameshacheza movie nyingi lakini movie zilizompatia umaarufu sana ni ANAKONDA na SELENA, Janefer anautajiri unaofikia dola million 45. Pia Kate anaumri wa miaka 31, na yeye pia movie mojawapo iliyompatia umaarufu ni BRIDAL WAR, mwanadada huyu anautajiri unaofikia dola million 38.
No comments:
Post a Comment