kwenye hii movie Beyoncé amecheza na muigizaji wa uingereza Idris Elba, inahusu maisha ya wanandoa wanaopendana na wanamtoto mmoja halafu baadae penzi lao linaingiliwa na mdada wa mjini.
picha hii inamuonyesha Beyoncé na Idris Elba wakiwa wanaigiza hiyo movie
hizi picha zote ni za hiyo movie ya OBSESSED.
SASA BASI, HAPO CHINI NIMESHARE NA NYIE VIDEO KUTOKA U TUBE INAYOMUONYESHA MTOTO WA MIAKA MI 2 WA HUKO MAREKANI ANAYEITWA HEVEN, KATOTO HAKO KANACHEZA WIMBO WA BEYONCE KAMA VILE BEYONCE ANAVYOCHEZA, YANI HAKAJAKOSEA HATA STEP MOJA, UKIKAANGALIA KWANZA NI KADOGO LAKINI KANAVYOCHEZA UTASHANGAA, ILA HAKA KATOTO MAMA YAKE NI CHOREOGRAPHER.
No comments:
Post a Comment