Saturday, November 9, 2013

MPENZI WA WEMA SEPETU AKIWA KWENYE MSIBA WA BABA MKWE


Huyu ni Diamond mpenzi wa muigizaji namba moja kwa mauzo bongo Wema Sepetu, picha hii ilipigwa huko Zanzibar wakati Diamond alipohudhuria msiba wa baba mkwe marehemu mzee Isack Sepetu.

No comments: