Saturday, November 9, 2013

IDRIS ELBA KUA BABA MIEZI MICHACHE IJAYO


Akionyesha sura ya furaha kabisa muigizaji kutoka nchini uingereza Idris Elba anatarajiwa kua baba kwani huyo mrembo aliyepiga nae picha ni girl friend wake na anaujauzito wa miezi kadhaa.

No comments: