Monday, November 4, 2013

SALMA HAYEK NA JESSICA ALBA KWENYE MOVIE MOJA.......

                                               Salma Hayek na Jessica Alba hivi sasa wapo location wakishoot movie kali itakayokua inaitwa HOW TO MAKE LOVE LIKE AN ENGLISH MAN.       
                                                        

                                                          SALMA HAYEK
 
 
                                                                 JESSICA ALBA
 
 
 Hapa salma akiwa location huko LA
 
 
 Pia hapa chini ni picha ya Jessica akiwa naye location

Na hapa chini ni Salma na Jessica wakiwa na waume zao na hako katoto ni ka Jessica.
Director wa hii movie ni mkali TOM VAUGHAN na aliyeandika story ya hii movie ni MATHEW NEWMAN, uzuri wa movie utachangawa sana na hawa wanamama walioigiza hii movie, Salma ni mke wa Billionare na ni mama wa motto mmoja, na Jessica ni mke wa mwigizaji mwenzake na ni mama wa watoto wawili. wanamama hawa wote wawili wanaasili ya huko MEXICO.

No comments: