Tuesday, November 19, 2013

NADIA BUARI NA JIM IYKE

Nadia ni muigizaji wa Ghana na Jim ni muigizaji wa Nigeria, wawili hawa ni wapenzi ambao hivi majuzi tu waliachana tena kwenye twitter, naona wamerudiana sasa na hii picha inawaonyesha wakiwa wanaelekea Ulaya kusherehekea birthday ya Nadia.

No comments: