JANEFER LOPEZ
basi akiwa location ghafla bin vuu akashangaa watoto wake wanamvamia na kuanza kumrukia, inasemekana watoto wake walikua nyumbani wakaanza kusumbua tupelekeni kwa mama ndo usumbufu ulivyozidi security guy akaona isiwe tabu ngoja niwapeleke ndo akawapeleka.
hapa kwenye picha ya mwisho naona ndo anawarudisha nyumbani.
No comments:
Post a Comment